Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi amesema nchi yake itakuwa tayari kuwasilisha mpango wake wa makubaliano ya ...
Rais Donald Trump amesema siku ya Alhamisi anaamini Iran inaweza kufikia makubaliano ndani ya siku 10 hadi 15. Hata hivyo, ...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Thailand Sihasak Phuangketkeow anasema nchi yake inataka kuhudumu kama daraja linaloirejesha ...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi alikutana na mkuu wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki, IAEA Rafael ...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio anapanga kusafiri kwenda Israel wiki ijayo kumjulisha Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kuhusu maendeleo ya hivi punde katika mazungumzo ya nyukli ...
Waziri wa mambo ya nje wa Iran Abbas Araghchi ameelekea Saudi Arabia Jumatano, Oktoba 9, kama kituo cha kwanza katika ziara ya Ghuba ambayo pia inajumuisha Qatar. Kwa mujibu wa wizara ya mambo ya nje ...
Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki nchini Iran Mohammad Eslami amesema hakuna nchi inayoweza kuinyima Jamhuri hiyo ya ...
Rais wa Marekani Donald Trump amesema "vipengele vingi" vya makubaliano ya amani nchini Ukraine vimekubaliwa na mwenzake wa Urusi, Vladimir Putin. Trump ameyasema hayo kabla ya mazungumzo yao ya simu ...